بَلْ يُرِيدُ ٱلْإِنسَٰنُ لِيَفْجُرَ أَمَامَهُۥ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterLakini mtu anataka tu kuendelea na maasi kwa siku zilizoko mbele yake.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniLakini mtu anataka tu kuendelea na maasi kwa siku zilioko mbele yake.