بَلْ يُرِيدُ كُلُّ ٱمْرِئٍ مِّنْهُمْ أَن يُؤْتَىٰ صُحُفًا مُّنَشَّرَةً
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAti kila mmoja katika wao anataka apewe nyaraka zilizofunuliwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAti kila mmoja katika wao anataka apewe nyaraka zilizo funuliwa.