caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muddaththir, Aya 50

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 4 · 74:50

كَأَنَّهُمْ حُمُرٌ مُّسْتَنفِرَةٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKana kwamba wao ni mapunda waliotimuliwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKama kwamba wao ni mapunda walio timuliwa,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70