caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Jinn, Aya 27

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 40 · 72:27

إِلَّا مَنِ ٱرْتَضَىٰ مِن رَّسُولٍ فَإِنَّهُۥ يَسْلُكُ مِنۢ بَيْنِ يَدَيْهِ وَمِنْ خَلْفِهِۦ رَصَدًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterIsipokuwa Mtume wake aliyemridhia. Naye huyo humwekea walinzi mbele yake na nyuma yake.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniIsipo kuwa Mtume wake aliye mridhia. Naye huyo humwekea walinzi mbele yake na nyuma yake.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70