caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Nooh, Aya 26

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 71 · 71:26

وَقَالَ نُوحٌ رَّبِّ لَا تَذَرْ عَلَى ٱلْأَرْضِ مِنَ ٱلْكَٰفِرِينَ دَيَّارًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa Nuhu akasema: Mola wangu Mlezi! Usimwache juu ya ardhi mkazi wake yeyote katika makafiri!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa Nuh'u akasema: Mola wangu Mlezi! Usimwache juu ya ardhi mkaazi wake yeyote katika makafiri!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70