إِنَّكَ إِن تَذَرْهُمْ يُضِلُّوا۟ عِبَادَكَ وَلَا يَلِدُوٓا۟ إِلَّا فَاجِرًا كَفَّارًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika ukiwaacha watawapoteza waja wako, wala wao hawatazaa ila waovu makafiri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika ukiwaacha watawapoteza waja wako, wala wao hawatazaa ila waovu makafiri.