caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ma'aarij, Aya 8

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 79 · 70:8

يَوْمَ تَكُونُ ٱلسَّمَآءُ كَٱلْمُهْلِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSiku ambayo mbingu zitakapokuwa kama madini iliyoyeyushwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSiku ambayo mbingu zitakapo kuwa kama maadeni iliyo yayushwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70