caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ma'aarij, Aya 4

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 79 · 70:4

تَعْرُجُ ٱلْمَلَٰٓئِكَةُ وَٱلرُّوحُ إِلَيْهِ فِى يَوْمٍ كَانَ مِقْدَارُهُۥ خَمْسِينَ أَلْفَ سَنَةٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMalaika na Roho hupanda kwenda kwake katika siku ambayo kiasi chake ni miaka hamsini elfu!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMalaika na Roho hupanda kwendea kwake katika siku ambayo kadiri yake ni miaka khamsini elfu!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70