أَوَأَمِنَ أَهْلُ ٱلْقُرَىٰٓ أَن يَأْتِيَهُم بَأْسُنَا ضُحًى وَهُمْ يَلْعَبُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAu wakazi wa mijini wana amani ya kuwa iwajie adhabu yetu mchana hali ya kuwa wanacheza?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAu watu wa mijini wameaminisha ya kuwa adhabu yetu haitawafika mchana, nao wanacheza?