أَفَأَمِنَ أَهْلُ ٱلْقُرَىٰٓ أَن يَأْتِيَهُم بَأْسُنَا بَيَٰتًا وَهُمْ نَآئِمُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, wakazi wa mijini wana amani ya kuwa iwajie adhabu yetu usiku hali ya kuwa wamelala?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe, watu wa mijini wameaminisha ya kuwa adhabu yetu haitawafika usiku, nao wamelala?