caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 91

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:91

فَأَخَذَتْهُمُ ٱلرَّجْفَةُ فَأَصْبَحُوا۟ فِى دَارِهِمْ جَٰثِمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi tetemeko la ardhi likawachukua, kwa hivyo wakawa katika makazi yao wameanguka kifudifudi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi tetemeko la ardhi likawanyakua, na wakaamkia majumbani mwao wamejifudikiza, wamekwisha kufa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70