caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 68

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:68

أُبَلِّغُكُمْ رِسَٰلَٰتِ رَبِّى وَأَنَا۠ لَكُمْ نَاصِحٌ أَمِينٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNawafikishia ujumbe wa Mola wangu Mlezi. Na mimi kwenu ni mwenye kuwanasihi, mwaminifu
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNakufikishieni ujumbe wa Mola wangu Mlezi. Na mimi kwenu ni mwenye kukunasihini, muaminifu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70