إِنَّ هَٰٓؤُلَآءِ مُتَبَّرٌ مَّا هُمْ فِيهِ وَبَٰطِلٌ مَّا كَانُوا۟ يَعْمَلُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika hawa, haya waliyomo yatakujaangamia, na ni batili hayo waliyokuwa wakiyafanya.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika haya waliyo nayo watu hawa yatakuja angamia, na hayo waliyo kuwa wakiyafanya yamepotea bure.