caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'raaf, Aya 118

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 39 · 7:118

فَوَقَعَ ٱلْحَقُّ وَبَطَلَ مَا كَانُوا۟ يَعْمَلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi haki ikathibiti na yakabatilika yale waliyokuwa wakiyatenda.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKweli ikathibiti na yakabat'ilika waliyo kuwa wakiyatenda.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70