فَمَا مِنكُم مِّنْ أَحَدٍ عَنْهُ حَٰجِزِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hapana yeyote katika nyinyi ambaye angeliweza kutuzuia kumfikia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hapana yeyote katika nyinyi ambaye angeli weza kutuzuia.