caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Haaqqa, Aya 4

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 78 · 69:4

كَذَّبَتْ ثَمُودُ وَعَادٌۢ بِٱلْقَارِعَةِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterThamudi na A'di waliukadhibisha Msiba unaoshtusha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniThamudi na A'di waliukadhibisha Msiba unao situsha.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70