caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Haaqqa, Aya 19

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 78 · 69:19

فَأَمَّا مَنْ أُوتِىَ كِتَٰبَهُۥ بِيَمِينِهِۦ فَيَقُولُ هَآؤُمُ ٱقْرَءُوا۟ كِتَٰبِيَهْ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi ama atakayepewa kitabu chake kwa mkono wake wa kulia, atasema: Haya someni kitabu changu!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi ama atakaye pewa kitabu chake kwa mkono wake wa kulia, atasema: Haya someni kitabu changu!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70