caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Haaqqa, Aya 18

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 78 · 69:18

يَوْمَئِذٍ تُعْرَضُونَ لَا تَخْفَىٰ مِنكُمْ خَافِيَةٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSiku hiyo mtahudhurishwa - haitafichika siri yoyote yenu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSiku hiyo mtahudhurishwa - haitafichika siri yoyote yenu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70