يَوْمَ يُكْشَفُ عَن سَاقٍ وَيُدْعَوْنَ إِلَى ٱلسُّجُودِ فَلَا يَسْتَطِيعُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterSiku utakapowekwa wazi muundi, na wataitwa kusujudu, lakini hawataweza
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSiku utakapo wekwa wazi mundi, na wataitwa kusujudu, lakini hawataweza,