caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qalam, Aya 13

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 2 · 68:13

عُتُلٍّۭ بَعْدَ ذَٰلِكَ زَنِيمٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMkatili, na juu ya hayo, ni mshari aliyejipachika tu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMkavu, na juu ya hayo, mshari, amejipachika tu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70