caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Mulk, Aya 7

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 77 · 67:7

إِذَآ أُلْقُوا۟ فِيهَا سَمِعُوا۟ لَهَا شَهِيقًا وَهِىَ تَفُورُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWatakapotupwa humo, watausikia mngurumo wake na huku inafoka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWatakapo tupwa humo watausikia mngurumo wake na huku inafoka.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70