caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Mulk, Aya 6

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 77 · 67:6

وَلِلَّذِينَ كَفَرُوا۟ بِرَبِّهِمْ عَذَابُ جَهَنَّمَ وَبِئْسَ ٱلْمَصِيرُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kwa wale waliomkufuru Mola wao Mlezi ipo adhabu ya Jahannamu. Na ni marejeo maovu yalioje hayo!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa kwa walio mkufuru Mola wao Mlezi ipo adhabu ya Jahannamu. Na ni marejeo maovu yalioje hayo!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70