وَزَكَرِيَّا وَيَحْيَىٰ وَعِيسَىٰ وَإِلْيَاسَ كُلٌّ مِّنَ ٱلصَّٰلِحِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa Zakaria, na Yahya, na Isa, na Ilyas. Kila mmoja wao ni miongoni mwa walio wema.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa Zakaria na Yahya na Isa na Ilyas. Wote walikuwa miongoni mwa watu wema.