caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-An'aam, Aya 86

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 55 · 6:86

وَإِسْمَٰعِيلَ وَٱلْيَسَعَ وَيُونُسَ وَلُوطًا وَكُلًّا فَضَّلْنَا عَلَى ٱلْعَٰلَمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa Ismail, na Al-Yasaa, na Yunus, na Lut'. Na kila mmoja wao tulimboresha juu ya walimwengu wote.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa Ismail, na Al Yasaa, na Yunus, na Lut'. Na wote tuliwafadhilisha juu ya walimwengu wote.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70