caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-An'aam, Aya 55

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 55 · 6:55

وَكَذَٰلِكَ نُفَصِّلُ ٱلْـَٔايَٰتِ وَلِتَسْتَبِينَ سَبِيلُ ٱلْمُجْرِمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ndivyo hivyo tunavyozieleza Ishara, na ili ibainike njia ya wahalifu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ndio hivi tunavyo zieleza Ishara ili ibainike njia ya wakosefu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70