caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-An'aam, Aya 49

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 55 · 6:49

وَٱلَّذِينَ كَذَّبُوا۟ بِـَٔايَٰتِنَا يَمَسُّهُمُ ٱلْعَذَابُ بِمَا كَانُوا۟ يَفْسُقُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wale waliozikadhibisha Ishara zetu itawagusa adhabu kwa vile walivyokuwa wakivuka mipaka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa walio kanusha Ishara zetu itawagusa adhabu kwa walivyo kuwa wakipotoka.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70