إِنَّ مَا تُوعَدُونَ لَـَٔاتٍ وَمَآ أَنتُم بِمُعْجِزِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika, yale mnayoahidiwa yatafika, wala nyinyi hamtaweza kushinda.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBila ya shaka hayo mnayo ahidiwa yatafika tu, wala nyinyi hamtaweza kuyaepuka.