نَحْنُ جَعَلْنَٰهَا تَذْكِرَةً وَمَتَٰعًا لِّلْمُقْوِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterSisi tumeufanya uwe ni ukumbusho na manufaa kwa walioko nyikani.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSisi tumeufanya uwe ni ukumbusho na manufaa kwa walioko nyikani.