caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ar-Rahmaan, Aya 54

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 97 · 55:54

مُتَّكِـِٔينَ عَلَىٰ فُرُشٍۭ بَطَآئِنُهَا مِنْ إِسْتَبْرَقٍ وَجَنَى ٱلْجَنَّتَيْنِ دَانٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWawe wameegemea matandiko yenye bitana ya hariri nzito; na matunda ya Bustani hizo yapo karibu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWawe wameegemea matandiko yenye bit'ana ya hariri nzito; na matunda ya Bustani hizo yapo karibu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70