caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ar-Rahmaan, Aya 24

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 97 · 55:24

وَلَهُ ٱلْجَوَارِ ٱلْمُنشَـَٔاتُ فِى ٱلْبَحْرِ كَٱلْأَعْلَٰمِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ni vyake Yeye hivi viendavyo baharini vilivyoundwa kama milima.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ni vyake Yeye hivi viendavyo baharini vilivyo undwa kama vilima.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70