caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qamar, Aya 48

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 37 · 54:48

يَوْمَ يُسْحَبُونَ فِى ٱلنَّارِ عَلَىٰ وُجُوهِهِمْ ذُوقُوا۟ مَسَّ سَقَرَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSiku watakapokokotwa Motoni kifudifudi waambiwe: 'Onjeni mguso wa Saqar!'
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSiku watakapo kokotwa Motoni kifudifudi waambiwe: Onjeni mguso wa Jahannamu!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70