caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qamar, Aya 12

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 37 · 54:12

وَفَجَّرْنَا ٱلْأَرْضَ عُيُونًا فَٱلْتَقَى ٱلْمَآءُ عَلَىٰٓ أَمْرٍ قَدْ قُدِرَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tukazipasua ardhi kwa chemichemi, yakakutana maji kwa jambo lililokwisha pangwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tukazipasua ardhi kwa chemchem, yakakutana maji kwa jambo lilio kadiriwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70