caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura At-Tur, Aya 45

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 76 · 52:45

فَذَرْهُمْ حَتَّىٰ يُلَٰقُوا۟ يَوْمَهُمُ ٱلَّذِى فِيهِ يُصْعَقُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi waache mpaka wakutane na siku yao watakapohilikishwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi waache mpaka wakutane na siku yao watakapo hilikishwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70