فَمَنَّ ٱللَّهُ عَلَيْنَا وَوَقَىٰنَا عَذَابَ ٱلسَّمُومِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi Mwenyezi Mungu akatufanyia hisani na akatulinda mbali adhabu ya upepo wa Moto.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi Mwenyezi Mungu akatufanyia hisani na akatulinda na adhabu ya upepo wa Moto.