caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura At-Tur, Aya 28

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 76 · 52:28

إِنَّا كُنَّا مِن قَبْلُ نَدْعُوهُ إِنَّهُۥ هُوَ ٱلْبَرُّ ٱلرَّحِيمُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika sisi zamani tulikuwa tukimwomba Yeye tu. Hakika Yeye ndiye Mwema Mwingi wa kurehemu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika sisi zamani tulikuwa tukimwomba Yeye tu. Hakika Yeye ndiye Mwema Mwenye kurehemu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70