وَيَطُوفُ عَلَيْهِمْ غِلْمَانٌ لَّهُمْ كَأَنَّهُمْ لُؤْلُؤٌ مَّكْنُونٌ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterIwe wanawapitia watumishi wao kama kwamba ni lulu zilizomo katika chaza.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniIwe wanawapitia watumishi wao kama kwamba ni lulu zilizomo katika chaza.