caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura At-Tur, Aya 14

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 76 · 52:14

هَٰذِهِ ٱلنَّارُ ٱلَّتِى كُنتُم بِهَا تُكَذِّبُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation Center(Waambiwe): Huu ndio ule Moto mliokuwa mkiukadhibisha!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani(Waambiwe): Huu ndio ule Moto mlio kuwa mkiukanusha!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70