caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Adh-Dhaariyat, Aya 57

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 67 · 51:57

مَآ أُرِيدُ مِنْهُم مِّن رِّزْقٍ وَمَآ أُرِيدُ أَن يُطْعِمُونِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa sitaki kwao riziki, wala sitaki wanilishe.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa sitaki kwao riziki, wala sitaki wanilishe.Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kuruzuku, Mwenye nguvu, Madhubuti.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70