caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Adh-Dhaariyat, Aya 47

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 67 · 51:47

وَٱلسَّمَآءَ بَنَيْنَٰهَا بِأَيْي۟دٍ وَإِنَّا لَمُوسِعُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa mbingu tumezifanya kwa nguvu na uwezo na hakika Sisi bila ya shaka ndio wenye uwezo wa kuzitanua.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa mbingu tumezifanya kwa nguvu na uwezo na hakika Sisi bila ya shaka ndio twenye uwezo wa kuzitanua.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70