caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Adh-Dhaariyat, Aya 30

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 67 · 51:30

قَالُوا۟ كَذَٰلِكِ قَالَ رَبُّكِ إِنَّهُۥ هُوَ ٱلْحَكِيمُ ٱلْعَلِيمُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakasema: Ndivyo vivyo hivyo alivyosema Mola wako Mlezi. Hakika Yeye ni Mwenye hekima, Mwenye kujua.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakasema: Ndivyo vivyo hivyo alivyo sema Mola wako Mlezi. Hakika Yeye ni Mwenye hikima na Mwenye kujua.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70