caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Qaaf, Aya 34

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 34 · 50:34

ٱدْخُلُوهَا بِسَلَٰمٍ ذَٰلِكَ يَوْمُ ٱلْخُلُودِ

Swahili Translation - Rowad Translation Center(Ataambiwa) ingieni humo kwa salama. Hiyo ndiyo siku ya kudumu daima dawamu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-Barwani(Ataambiwa) ingieni kwa salama. Hiyo ndiyo siku ya daima dawamu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70