caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Qaaf, Aya 19

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 34 · 50:19

وَجَآءَتْ سَكْرَةُ ٱلْمَوْتِ بِٱلْحَقِّ ذَٰلِكَ مَا كُنتَ مِنْهُ تَحِيدُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa uchungu wa kutoka roho utamjia kwa haki. Hayo ndiyo uliyokuwa ukiyakimbia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa uchungu wa kutoka roho utamjia kwa haki. Hayo ndiyo uliyo kuwa ukiyakimbia.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70