كَذَّبَتْ قَبْلَهُمْ قَوْمُ نُوحٍ وَأَصْحَٰبُ ٱلرَّسِّ وَثَمُودُ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterKabla yao walikadhibisha kaumu ya Nuhu na wakazi wa Rassi na Thamudi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKabla yao walikadhibisha kaumu ya Nuhu na wakaazi wa Rassi na Thamudi.