إِنَّ ٱلَّذِينَ يُنَادُونَكَ مِن وَرَآءِ ٱلْحُجُرَٰتِ أَكْثَرُهُمْ لَا يَعْقِلُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika hao wanaokuita nawe uko nyuma ya vyumba, wengi wao hawatumii akili.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika hao wanao kuita nawe uko nyuma ya vyumba, wengi wao hawana akili.