وَفِى خَلْقِكُمْ وَمَا يَبُثُّ مِن دَآبَّةٍ ءَايَٰتٌ لِّقَوْمٍ يُوقِنُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa katika umbo lenu na katika wanyama aliowatawanya, zimo Ishara kwa watu wenye yakini.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa katika umbo lenu na katika wanyama alio watawanya zimo Ishara kwa watu wenye yakini.