caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ad-Dukhaan, Aya 7

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 64 · 44:7

رَبِّ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضِ وَمَا بَيْنَهُمَآ إِن كُنتُم مُّوقِنِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMola Mlezi wa mbingu na ardhi na vilivyo baina yao, ikiwa nyinyi mna yakini.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMola Mlezi wa mbingu na ardhi na vilio baina yao, ikiwa nyinyi mna yakini.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70