caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ad-Dukhaan, Aya 3

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 64 · 44:3

إِنَّآ أَنزَلْنَٰهُ فِى لَيْلَةٍ مُّبَٰرَكَةٍ إِنَّا كُنَّا مُنذِرِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Sisi tumekiteremsha katika usiku uliobarikiwa. Hakika Sisi ni Waonyaji.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika tumekiteremsha katika usiku ulio barikiwa. Hakika Sisi ni Waonyaji.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70