caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ad-Dukhaan, Aya 29

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 64 · 44:29

فَمَا بَكَتْ عَلَيْهِمُ ٱلسَّمَآءُ وَٱلْأَرْضُ وَمَا كَانُوا۟ مُنظَرِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi mbingu wala ardhi hazikuwalilia, wala hawakupewa muhula.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniLa mbingu wala ardhi hazikuwalilia, wala hawakupewa muhula.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70