caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ad-Dukhaan, Aya 22

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 64 · 44:22

فَدَعَا رَبَّهُۥٓ أَنَّ هَٰٓؤُلَآءِ قَوْمٌ مُّجْرِمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNdipo akamwomba Mola wake Mlezi: 'Hakika watu hawa ni wakosefu.'
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNdipo akamwomba Mola wake Mlezi: Hakika watu hawa ni wakosefu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70