caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ad-Dukhaan, Aya 20

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 64 · 44:20

وَإِنِّى عُذْتُ بِرَبِّى وَرَبِّكُمْ أَن تَرْجُمُونِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNami najikinga kwa Mola wangu Mlezi na ndiye Mola wenu Mlezi pia, ili msinipige mawe.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNami najikinga kwa Mola wangu Mlezi na ndiye Mola wenu Mlezi pia, ili msinipige mawe.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70